REAL MADRID 3 - 4 BARCELONA
Klabu ya Barcelona imepata ushindi wa lazima dhidi ya Real Madirid ndani ya Santiago Bernabeu. Ushindi huu umekuwa wa lazima kwa Barcelona kwani kupoteza au kutoka droo kwenye mchezo huu ingekuwa ni bye bye kwa Barcelona kwenye kinyang'anyiro cha ubingwa wa ligi. Matokeo haya yanaifanya Barcelona kufikisha pointi 69 ikiwa nyuma kwa pointi moja dhidi ya Madrid na Atl. Madrid zenye pointi 70. Msimamo wa ligi wa sasa unaongeza joto la ushindani wa kombe la ligi kwa timu hizi tatu ikiwa bado zimebakiza mechi tisa. Wafungaji wa Madrid ni Benzema (2) na Ronaldo, wakati Barcelona wafungaji ni Iniesta na Messi (3)
REAL MADRID TEAM. Diego Lopez, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Xabi Alonso, Modric, Di Maria, Cristiano Ronaldo, Benzema, Bale. Subs: Casillas, Varane, Coentrao, Nacho, Morata, Isco, Illarra
BARCELONA TEAM. Valdes, Alves, Pique, Mascherano, Jordi Alba, Sergio, Xavi, Iniesta, Cesc, Messi, Neymar. Subs: Pinto, Pedro, Alexis, Adriano, Sergi Roberto, Bartra, Song
Msimamo wa ligi ulivyo sasa baada ya mechi hii

No comments:
Post a Comment