Tuesday, May 6, 2014

Mkaguzi wa FIFA akamilisha vipimo uwanja wa BK

Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Dk Ian McClements aliwasili Bukoba asubuhi ya Jumatatu, Mei 5, 2014 kwa ndege ya kukodi. McClements akiwa Bukoba alikagua uwanja wa Kaitaba ili kutekeleza zoezi la uwekaji nyasi bandia. Vipimo vya uwanja huu vitatumwa FIFA na mkandarasi atachaguliwa kuja kuanza kazi. Clements pia alikwenda jijini Mwanza kufanya vipimo kama hivi kwenye uwanja wa Nyamagana. 

Dk. Ian McClements baada ya kumaliza kazi yake alipaa kuelekea jijini Mwanza 

No comments:

Post a Comment