Wednesday, July 31, 2013

Jose Mourinho achora Tattoo kwenye mkono

Special tribute: Mourinho showed off the tattoo, on his wrist, as Chelsea trained in Washington before the start of their American tour
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho leo ameonekana akiwa na tattoo kwenye mkono wake wa kushoto ikiwa na maneno Tami, Tita na Zuca. Maneno haya matatu ni majina ya wanafamilia wake ambapo Tami ni mke wake, Tita ni binti yake na Zuca ni kijana wake. Thamani ya tattoo yake ni paundi 80 na alitumia saa moja kuchora. Mourinho alifunga ndoa na Tami mwaka 1989 na walifanikiwa kupata mtoto wa kwanza mwaka 1996 na mtoto wa pili mwaka 2000
Inked! Chelsea manager Jose Mourinho paid £80 to have the nicknames of his wife (Tami), daughter (Tita) and son (Zuca) tattooed on his wrist
Tami, Tita, Zuca 
Body art: Mourinho was impressed by a similar tattoo a member of Chelsea's staff had done and visited a parlour near Stamford Bridge
Happy family: Mourinho celebrates with wife Tami and children Jose Jr (left) and Matilde after Chelsea won the Premier League title in 2005
Mourinho akiwa na mkewe pamoja na watoto wake enzi hizo aliposhinda kombe la ligi na Chelsea. 

No comments:

Post a Comment