Wauuguzi wakimsukuma Luis Suarez baada ya kumfanyia upasuaji kwenye goti la mguu wake wa kushoto. Upasuaji huu umefanyika nchini Uruguay na mshumbuliaji huyu anatarajia kupona baada ya wiki tatu ili kuwahi mechi za kombe la dunia. Suarez mwenyewe amesema anawashukuru mashabiki wake wote wanaompa support kwa kipindi hiki ambacho anaugua.
No comments:
Post a Comment