Kocha wa Man City Roberto Mancini amesema timu yake haitahitaji kufanya usajili wa aina yoyote msimu ujao. Mancini amesema hayo baada ya ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Man utd walioupata jana usiku, licha ya kukiri kuwa Man utd ndiyo mabingwa wa ligi mwaka huu, Mancini alisema “ mwakani tutashinda kombe la ligi, na hatutahitaji kufanya usajili wowote kwasababu uwezo tunao, mwaka huu wachezaji wetu muhimu walikuwa majeruhi Yaya, Aguero na Kompany kitu ambacho kilituharibia sana, lakini Man utd wanastahili kuwa mabingwa kwani uwezo wanao na timu yao ni nzuri, ila tumeweza kuwaonesha kuwa hatukustahili kuwa nyuma kwa pointi 15, ila United wasibweteke na tofauti ya pointi 12 kwani ligi bado haijaisha, wakifanya mchezo tutawapokonya kombe”. Mechi zilizobakia za Man utd na City
Manchester
City
Wigan
(h) - Wednesday, April 17
Tottenham
(a) - Sunday, April 21
West
Ham (h) - Saturday, April 27
Swansea
(a) - Saturday, May 4
Reading
(a) - Sunday, May 12
Norwich
(h) - Sunday, May 19
|
Manchester
United
Stoke
City (a) - Sunday, April 14
West
Ham (a) - Wednesday, April 17
Aston
Villa (h) - Monday, April 22
Arsenal
(a) - Sunday, April 28
Chelsea
(h) - Saturday, May 4
Swansea
(h) - Sunday, May 12
West
Bromwich (a) - Sunday, May 19
|
No comments:
Post a Comment