Tuesday, April 2, 2013

Klittschko anatoka na Hayden

Klitschko
Hayden
Mwanamasubwi Wladimir Klitschko ameweka wazi mahusiano yake na mcheza sinema maarufu duniani Hayden Panettiere. Wapenzi hao walionekana wiki hii jijini Miami bichi wakila raha. Inasemekana kuwa wawili hao wamesha chumbiana na wanatarajia kufunga ndoa ya siri siku chache zijazo. Klitschko ni bingwa duniani wa WBA, IBF, WBO, IBO & The Ring Heavyweight ana umri wa miaka 37 na urefu wa mita 1.98 wakati mpenzi wake Hayden ana umri wa miaka 23 na urefu wa mita 1.57 ameshacheza movie zipatazo 55 zikiwemo I love you, Beth Cooper, Alpha and Omega na series ya Heroes. 
Hayden and VladmirHayden Panettiere and Vladmir Klitschko kiss on the beach

No comments:

Post a Comment