Tum Cleverley kiungo wa kati wa Manchester United anatarajia kupata mtoto hivi karibuni baada ya mpenzi wake Georgina kujianika bichi nchini Dubai akionesha maendeleo ya ujauzito wake ambao upo kwenye hatua za mwishoni kukaribia kujifungua.
Georgina, mpenzi wa Cleverley |
No comments:
Post a Comment