Magoli yaliyofungwa na Muller 25, 82, Gomez 49 na Robben 73 yameipa Bayern ushindi mnono dhidi ya Barcelona. Kwa kichapo cha leo Barcelona itabidi wajipange upya msimu ujao kwani itakuwa vigumu sana kushinda goli tano kwa bila kwenye mechi ya marudiano. Mechi nyingine ngumu itakuwa ni kati ya Borussia vs Real Madrid.
Bayern Munich waliwakilishwa na: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller (Pizarro 83), Ribery (Shaqiri 89), Gomez (Luiz Gustavo 71).
Bayern Munich waliwakilishwa na: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller (Pizarro 83), Ribery (Shaqiri 89), Gomez (Luiz Gustavo 71).
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Bartra, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Sanchez, Messi, Pedro (Villa 83).
Subs: Pinto, Fabregas, Villa, Thiago, Montoya, Abidal, Song.
No comments:
Post a Comment