Murry akirudisha mpira 'back hand' dhidi ya Wawrinka kwenye michuano ya Monte Carlo jijini Monaco Ufaransa. Monte Carlo ni michuano ya tenesi kwa wanaume inayofanyika kila mwaka ambapo Rafel Nadal ndiye bingwa mtetezi wa kombe hilo tokea mwaka 2005 hadi 2012. |
No comments:
Post a Comment