Friday, April 19, 2013

Sita wachaguliwa kwenye tuzo ya PFA

Suarez, Hazard, Van Persie, Mata, Carrick na Bale ni wachezaji sita waliochaguliwa kuwania tuzo ya PFA mwaka huu. Kati ya wachezaji hawa Muingereza ni mmoja tu (Carrick). Mbali ya kuchaguliwa wachezaji hawa, wepenzi wengi wamesema kuna wachezaji ambao ilibidi wawepo kwenye kinyang'anyiro hiki wakiwemo Aguero, Yaya Toure, Michu, Wilshere, Carzola na Welbeck 



Rekodi za wachezaji waliochaguliwa kwenye PFA

GARETH BALE (Tottenham) Miaka: 23. Amecheza mechi: 38. Magoli: 22.

MICHAEL CARRICK (Manchester United) Miaka: 31. Mechi: 42. Magoli: 2.


EDEN HAZARD (Chelsea). Miaka: 22. Mechi: 56. Magoli: 12.

JUAN MATA (Chelsea) Miaka: 24. Mechi: 55. Magoli: 18.


LUIS SUAREZ (Liverpool) Miaka: 26. Mechi: 46. Magoli: 29.


ROBIN VAN PERSIE (Manchester United) Miaka: 29. Mechi: 43. Magoli: 25.




Washindi wa Tuzo ya PFA kuanzia mwaka 2005 hadi 2012

Uingereza
Ureno
Ureno
Wales
Uingereza
Wales
Uholanzi

No comments:

Post a Comment