![]() |
Mario Balotelli akiwa na Ferrari 450 mpya aliyoinunua kwa paundi laki 2. Mario alionekana nayo ndani ya eneo maalumu la kukimbizia magari nchini Italia licha ya kuwa mkataba wake na Ac Milan unamkataza asiende eneo hilo kwani anaweza kupata ajali lakini mchezaji huyo ameonekana kukiuka mashariti ya mkataba wake |
![]() |
Mario akiendesha Ferrari yake mpya |
No comments:
Post a Comment