Beki wa Man city na Belgium Vicent Kompany akisikilizia maumivu baada ya kugongana na golikipa wa timu yake katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia kati ya Belgium na Serbia. Ripoti za daktari wa timu zimeonesha kuwa Kompany amevunjika mfupa wa pua jambo kilichomfanya atokwe na damu nyingi. Kompany anatarajiwa kufanyiwa matibabu zaidi baada ya kupewa huduma ya kwanza akiwa kiwanjani. Matokeo ya mwisho ya mchezo huu yaliisha kwa Belgium kuibuka na ushindi wa 2-1, matokeo yanaoifanya Belgium ifikishe pointi 19 kileleni. |
Video ya jinsi Kompany alivyogongana na kipa
No comments:
Post a Comment