Saturday, July 27, 2013

Cheki penati fyongo aliyopiga Dzeko kombe la Asia

Mcheki Edin Dzeko akipiga penati fyongo dhidi ya Sunderland katika michuano ya Barclays Asia Trophy inayofanyika Hong Kong. Mbali ya kukosa penati hii, Man city iliibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Dzeko mwenyewe. 

No comments:

Post a Comment