![]() |
Kiungo mpya wa Chelsea Marco van Ginkel kutoka Vitesse ametambulisha rasmi leo kujiunga na klabu hiyo kwa kusaini mkataba wa miaka mitano. Ginkel amesajiliwa kwa dau la paundi mil 9, ikiwa ni moja ya jitihada za kocha mpya Jose Mourinho katika kujenga upya kikosi chake. |
No comments:
Post a Comment