![]() |
Picha hii inamuonesha Higuain baada ya kuteleza na kuanguka kwenye miamba alipokuwa kwenye mapumziko pamoja na wenzake nchini Italia. Higuain aliumia vibaya kwenye kidevu na sehemu ya shavu lake la kushoto kiasi cha kumfanya ashonwe nyuzi 10. |
![]() |
Higuain akiwa hospitali baada ya kupata matibabu |
![657914 Former Arsenal target Higuain has a rocky start at Napoli, gets 10 stitches in his face [Pictures]](http://cde.elcomercio.pe/66/ima/0/0/6/5/7/657914.jpg)
No comments:
Post a Comment