Kinachomchekesha Ronaldo sio kupiga picha ila ni.....
Ronaldo (Kushoto) akiwa pamoja na mchekeshaji maarufu duniani Mr. Bean. Ronaldo ameonekana akicheka kwenye picha hii sio kwasababu anafurahia kupiga picha, bali ni kubahatika kukutana na Mr. Bean na kuiona sura yake liveeeee
No comments:
Post a Comment