Thursday, September 19, 2013

Messi amkaribia Raul ufungaji wa magoli Uefa

Messi preview
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi amebakiza magoli tisa tu kumfikia Raul, ambaye ni kinara kwenye orodha ya wachezaji wenye magoli mengi kuliko wote Uefa Champions. Hadi sasa Raul ana magoli 71 na Messi ana magoli 62. Messi anatarajia kumpiku Raul ndani ya msimu huu wa Uefa au kumkaribia zaidi. Wakati Messi akiwa amecheza mechi 80 za Uefa na kufunga magoli 62, mpinzani wake mkubwa Cristiano Ronaldo ameshacheza mechi 97 na ana magoli 53, ambayo ni tofauti ya magoli 9. Ifuatayao ni kumi bora wafungaji wa Uefa champions tokea michuano hii ianzishwe.
#Playerteam(s)AppgoalsPenaltyØ
1Raúl FC Schalke 04
 Real Madrid
1427110.50
2Lionel Messi * FC Barcelona806260.78
3Ruud van Nistelrooy Real Madrid
 Manchester United
 PSV Eindhoven
7356100.77
4Cristiano Ronaldo * Real Madrid
 Manchester United
935340.57
5Thierry Henry * FC Barcelona
 Arsenal FC
 AS Monaco
1125030.45
6Alfredo Di Stéfano Real Madrid584930.84
7Andriy Shevchenko AC Milan
 Chelsea FC
 Dinamo Kiev
1004850.48
8Eusébio SL Benfica654630.71
Filippo Inzaghi Juventus
 AC Milan
814610.57
10Alessandro Del Piero * Juventus894160.46

No comments:

Post a Comment