Tafsiri ya picha hii ni kuonesha jinsi Tottenham alivyozungukwa na Madrid na kufanikiwa kumuuza Ozil kwa Arsenal. Taarifa zilizopo ni kwamba, klabu ya Tottenham ilichelewesha usajili wa Bale ili Arsenal wasifanikiwe kumsajili Ozil, lakini mambo hayakwenda jinsi Tottenham walivyopanga, kwasababu Madrid na Arsenal walishajua janja ya Tottenham mapema, na wakawa washajipanga kukwepa matego. Pole sana Spurs!! |
No comments:
Post a Comment