Sergio Ramos akiwa ameshikilia jezi ya mwisho kuvaliwa na Ozil ikiwa na saini yake ili kuonesha upendo wake kwa Ozil ambaye alikuwa ni rafiki yake wa karibu. Ramos pia aliandika kwenye akaunti yake ya Twitter kuhusu Ozil akisema ' Kila mtu ana uhuru wa kuchagua maisha yake, ila kwa upande wangu nahisi Ozil ndiye mchezaji aliyetakiwa kuwa wa mwisho kuondoka Madrid baada yetu kutokana na uwezo mkubwa alionao. Lakini kwavile imeshatokea amehama ni suala lililopo juu ya uwezo wangu, naamini sote tutafanikiwa'. |
Wednesday, September 4, 2013
Sergio Ramos amkumbuka Mesut Ozil
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment