Mshambuliaji wa Man city, Sergio Aguero akijifua na bingwa wa mbio fupi duniani Usain Bolt. Aguero na Bolt walikutana pamoja kwenye program za mdhamini wao Puma ndipo Aguero alipomuomba Bolt kumfundisha mbinu za kukimbia kwa kasi na kubana pumzi. Katika maongezi yake Aguero amesema mbinu za Bolt zitamsaidia kwenye mechi ijayo dhidi ya Man utd. |
No comments:
Post a Comment