Michezo Updates
Pages
Home
Video Highlights
Livescore Sports
Contact
Monday, September 23, 2013
Mashabiki wa Arsenal walivyompokea Ozil wiki hii
Hili ni kundi la baadhi ya washabiki wa Arsenal waliovalia jezi zenye jina la Ozil wakiwa wamekusanyika nje ya uwanja wa Emirates kabla ya mechi kati ya Arsenal na Stoke city. Mapokeo ya Ozil hadi sasa yameonekana kufana sana ndani na nje ya uwanja.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment