Mshambuliaji mpya wa Real Madrid, Gareth Bale amepata majeraha tena kwenye paja lake la mguu wa kushoto akiwa mazoezini. Majeraha haya yamekuja baada ya kujitonesha sehemu aliyoumia wiki mbili zilizopita wakati akijiandaa kucheza mechi ya ligi dhidi ya Gatafe. Kutokana na majeraha haya Bale atakosa mechi ya leo dhidi ya FC Copenhagen kwenye michuano ya Uefa Champions. |
No comments:
Post a Comment