Van Persie akionekana kuwa offside kabla ya kufunga goli la pili na kusawazisha dhidi ya West Ham. Goli hili lilileta utata ambapo kocha wa West Ham Boss Sam Allardyce aliwafokea waamuzi akilalamika kuwa Man utd imependelewa. Wachambuzi wa soka wamekiri kuwa goli hili lilikuwa ni la offside ila ni makosa ya kibinadamu ya mwamuzi wa pembeni ndiyo yalisababisha goli kukubaliwa. Katika mchezo huu West Ham na Man utd zilitoka droo ya goli 2-2. |
No comments:
Post a Comment