Thursday, May 23, 2013

CRDB yatoa vifaa vya michezo kwa JWTZ

Mkurugenzi mtendaji wa CRDB Charles Kimei (kushoto) akimkabidhi Mnadhimu mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samwel Ndomba (kulia) jezi kwa ajili wa wanajeshi wanaokwenda kulinda amani nchini Kongo. CRDB imegawa jezi hizi kama sehemu ya misaada yake katika kusaidia michezo nchini Tanzania. Katika mazunguzo yake Luteni Ndomba alishukuru kwa msaada huo na kuiomba CRDB kuendelea kutoa michango ya aina hiyo ambayo itasaidia pia timu za jeshi zinazoshiriki ligi mbalimbali ndani ya nchi.  

No comments:

Post a Comment