Wednesday, July 10, 2013

Zaha atoa kituko wakati Man utd wakielekea B'kok

Awkward: New Manchester United signing Wilfried Zaha was the only member of the squad to arrive at the airport in casual dress as the club depart for their pre-season tour to the Far East Awkward: New Manchester United signing Wilfried Zaha was the only member of the squad to arrive at the airport in casual dress as the club depart for their pre-season tour to the Far East
 Mshambuliaji mpya wa klabu ya Man utd Wilfried Zaha leo ameonesha ugeni na aibu kiasi flani baada ya kutokea kwenye uwanja wa ndege akiwa tofauti na wenzake. Zaha alikuwa amevaa t-shirt&jinsi na chini alikuwa amevaa raba za Nike ambazo zimeripotiwa kuwa zilikuwa chafu. Zaha alitakiwa avae suti nyeusi sawa na wenzake. Lakini yeye alikwenda airport amevaa casual licha ya kuwa alijulishwa kuvaa suti. Baada ya kuwasili airport, kuulizwa suti ipo wapi alisema ameipoteza. Kufuatia hali hii, ilibidi maofisa wa Man utd wakamtafutie suti nyingine fasta fasta ili aweze kuvaa sare na wenzake....daaah!! mshikaji alishazoea Crystal Palace...hata Taifa stars sasa hivi wanavaa suti wakisafiri.  

Casual: Zaha turned up in a white t-shirt, jeans and trainers, claiming to security staff he'd misplaced his official club suit (below)
Cheki raba aliyovaa Zaha..haha daah!! huyu jamaa alikuwa anataka kuuza stori hakuwa serious


Picha hii ni baada ya Zaha kupewa suti nyingine 
Quick change: Zaha looked a good deal happier when a suit had been found Quick change: Zaha looked a good deal happier when a suit had been found

Wacheki wenzake walivyotokelezea na suti
On the plane: Wayne Rooney was among the Manchester United party travelling to the Far East All smiles: David Moyes prepares to board the plane to Bangkok
Smart: Rio Ferdinand shows Zaha how it's done Patrice Evra arrives at the airport
Coaching staff: Ryan Giggs and Phil Neville, who will both be on United's staff next season, chat in the terminal
Klabu ya Man utd imelekea Bangkok nchini Thailand kuanza ziara yake ya Asia kucheza mechi za kirafiki kabla ya msimu ujao kuanza. Tarehe 13 mwezi huu Man utd watacheza na Singha All-Star XI ikiwa ni mechi ya kwanza ya kocha mpya David Moyes. 

No comments:

Post a Comment