Saturday, May 18, 2013

Mpira umekwisha Simba 0-2 Yanga

Mpira umekwisha Simba 0 - 2 Yanga. Magoli ya Yanga yamefungwa na Msuva na Kiiza, dakika ya 26 na 63. Simba walipata penati lakini Mudde akakosa. 


Matukio ya mechi ya Yanga na Simba katika picha
 
 
 
 
 
 
Yanga line up: Ally Mustapha, Mbuyu Twite, David Luhende, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondani, Athumani Idd 'Chuji', Saimon Msuva, Frank Domayo, Didier Kavumbagu, Hamis Kiiza na Haruna Niyonzima
Simba line up: Juma Kaseja, Nassor Masoud 'Chollo', Haruna Shamte, Shomari Kapombe, Mussa Mudde, William Lucian, Mwinyi Kazimoto, Abdallah Seseme, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba na Haruna Chanongo

No comments:

Post a Comment