Saturday, May 18, 2013

KFC yamdaka Cristiano Ronaldo kwenye tangazo

Kawaida tulishazoea kuona makapuni ya vinywaji, mafuta na vipodozi kuwatumia wanasoka kutangaza, lakini safari hii Kentucky Fried Chicken (KFC) wamemshika nguli wa soka duniani Cristiano Ronaldo kwenye matangazo akionesha umahiri wake kuwa unatokana na kuku watamu wa KFC. Mbali na KFC Ronaldo pia anatangaza na makampuni mengine mbalimbali ikiwemo Cocacola, Fuji, Suzuki na Nike. Angalia tangazo lake jipya na KFC

No comments:

Post a Comment