Monday, May 20, 2013

Moyes ashiriki mazoezi ya Man utd mara ya kwanza

Day out: Sir Alex Ferguson (right) and David Moyes (back) are driven out of Carrington by kitman Albert Morgan on Monday lunchtime
Sir Alex Ferguson akiwa na David Moyes wakielekea kwenye mazoezi ambapo leo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Moyes kukutana na wachezaji wa Man utd. Moyes anatarajiwa kuanza kazi rasmi baada ya siku 41 ila leo alikwenda kushiriki kwenye mazoezi ili aweze kujifunza baadhi ya taratibu za kuiongoza klabu hiyo kwa kupata maelekezo kutoka kwa Sir Alex kabla ya kuachiwa rasmi mwezi ujao. 

No comments:

Post a Comment