Monday, May 20, 2013

Bata baada ya ligi kuisha England

Baadhi ya wachezaji wa ligi kuu nchini England wameonekana kwenye sehemu mbalimbali za starehe kujipongeza baada ligi kuu kuisha. Wafuatao katika picha ni baadhi ya wachezaji walionaswa na mapaparazi.  

Hitting the clubs: Ashley Cole pictured entering Whisky Mist accompanied by a glamorous friend Hitting the clubs: Ashley Cole pictured entering Whisky Mist accompanied by a glamorous friend
A. Cole alionekana na msichana mmoja jina lake halijulikana wakiingia ndani ya bar maarufu kwa kuuza pombe kali
Deep discussion: Marouane Fellaini talking to a rose seller outside Libertine
Fellaini (kushoto)
Couple: Libertine also played host to Frank Lampard and fiancee Christine Bleakley
Lampard na mchumba wake Christine Bleakley
Long night: Bacary Sagna pictured with stains of some sort on his shirt outside Libertine Long night: Bacary Sagna pictured with stains of some sort on his shirt outside Libertine
Sagna 
Generous: Rosicky kindly hands over some money to a beggar in the streets Generous: Rosicky kindly hands over some money to a beggar in the streets
Rosicky 

No comments:

Post a Comment