Sunday, June 23, 2013

Hispania na Uruguay zaingia nusu fainali

Jordi Alba marca ante Nigeria para EspaƱa en la Copa Confederaciones
Timu za taifa la Hispania na Uruguay zimefanikiwa kuingia nusu fainali ya michuano ya kombe la mabara baada ya kushinda mechi zao za mwisho. Hispania imefanikiwa kuifunga Nigeria magoli 3-0, magoli yakiwa yamefungwa na Alba (mawili) na Torres. Wakati Uruguay yenyewe imeichapa Tahiti magoli 8-0. Hispania ndiyo imeongoza kundi B kwa kuwa na pointi 9 wakati Uruguay nafasi ya pili kwa kuwa na point 6, hivyo Hispania itakutana na Italia na Uruguay watacheza na wanyeji Brazil. Pichani ni Alba wa Hispania akifunga goli la kwanza dhidi ya Nigeria. 

No comments:

Post a Comment