Friday, June 21, 2013

Mabingwa wa tenesi katika red carpet Wimbledon

Party
Mabingwa wa tenesi kwa upande wa wanawake jana usiku walikutana kwenye party ya kukaribisha michuano ya Wimbledon inayotarajiwa kuanza jumatatu ya wiki ijayo tarehe 24. Michuano hii ni moja kati ya michuano mikubwa ya tenesi ambapo mshindi wa mwaka huu atapata paundi mil 1.6. Serena Williams ndiye bingwa mtetezi wa Wimbledon, anarajia kupata upinzani mkali kutoka kwa mpinzani wake mkubwa Maria Sharapova ambaye anashikilia nafasi ya pili kwa ubora wa tenesi duniani. 
Daniela Hantuchova Maria Sharapova Ana Ivanovic
 Daniela Hantuchova (kushoto), Maria Sharapova (kati) na Ana Ivanovic (kulia)
Serena Williams Daniela Hantuchova
Srena Williams (kushoto) na Hantuchova (kulia)
Victoria Azarenka Agnieszka Radwa¿ska
Victoria Azarenka (Kushoto) na Agnieszka Radswanska (kulia) 
Jankovic AP
Jelena Jankovic (kushoto) na Anastasia Pavlyuchenkova (kulia)

No comments:

Post a Comment