Friday, June 21, 2013

Man utd yakubaliana na Thiago, bado na Barca

Incoming: Thiago Alcantara would significantly strengthen Manchester United's midfield
Klabu ya Man utd imefikia makubaliano na mchezaji wa Barcelona Thiago Alcantara ya kumlipa mshahara wa paundi mil 5 kwa mwaka na ada ya uhamisho ya paundi mil 17. Makubaliano haya yamefanywa kati ya Man utd na Baba mzazi wa mchezaji huyo Mazinho Alcantara. Hii ni hatua ya mwanzo ambayo Man utd imefikia katika kufanikisha usajili wa Thiago, na hatua inayofuta ni kukubaliana na klabu yake ya Barcelona ambapo mazungumzo yameanza na matarajio ni kufikia muafaka baina ya klabu hizi mbili. Kwa taarifa za Sportmail, ni kwamba makubaliano yanatarajiwa kufikiwa ndani ya wiki hii na Thiago atatangazwa rasmi kujiunga na United. 

No comments:

Post a Comment