Monday, June 17, 2013

Raula Meireles na mkewe wote wapenzi wa tattoos

Portuguese midfielder Raul Meireles and his wife Ivone enjoy a stroll down the beach in Miami
Meireles mchezaji wa zamani wa Liverpool na Chelsea akiwa na mkewe, kwa pamoja wameonekana wakiwa na tattoos mwili mzima wikiendi hii walipokuwa kwenye fukwe za Miami nchini Marekani. Tottoos umekuwa ni mtindo wa wakati huu kwa watu wengi wakiwemo wanasoka. Lakini wataalamu wa tattoos duniani wanamewashauri wale ambao bado hawajaweka tattoo hata moja wasijaribu kuchora, kwani mtindo huu ni kama kilevi, ukichora moja zingine zitafuta ndiyo maana watu wengi hususani wanamichezo na wanamuziki wanatattoo nyingi, kwani tattoo moja huzaa nyingine, kama anavyoonekana Meireles na wengine akiwemo Beckham, Dani Alves nk. Lakini kwa wale ambao wanatattoo, wameshauriwa kuchagua tattoo kwa umakini na kuzuia tamaa za kutaka tattoo zingine ili kuepukana na kuchora mwili mzima. 
Body art: Ivone Meireles shows off her tattoos Day out: Ivone and Raul Meireles at Aintree in 2011
Young love: Ivone has been with Raul ever since he started off his footballing career at Boavista FC

No comments:

Post a Comment