Thursday, June 6, 2013

Stamford Bridge ipo kwenye matengenezo

Life's a pitch: The Stamford Bridge surface is being relayed ahead of the new season
Hivi ndivyo kinavyoonekana kiwanja cha Chelsea sasa kikiwa kwenye matengezo kwenye sehemu ya kuchezea ili kujiandaa na msimu ujao wa ligi. 

No comments:

Post a Comment