Sunday, July 7, 2013

Cheki goli zuri lililofungwa na Matt Eliason

Goli hili limefungwa jana katika mechi ya kirafiki kati ya Marafiki wa Messi na Rest of the World. Matokeo ya mwisho, Marafiki wa Messi 9-6 Rest of the World. 

No comments:

Post a Comment