Monday, July 1, 2013

Kutoa sio utajiri....

Frank Lampard
Frank Lampard akitoa msaada wa dola 20 kwa kilema mmoja wa miguu nchini Marekani alipokwenda kwa mapumziko na mpenzi wake kabla ya msimu kuanza. 
Lampard and Christine Bleakley
Lampard na mpenzi wake Christine Bleakley wakipiga lunch kwenye mgahawa wa Pastaio

No comments:

Post a Comment