Wednesday, October 23, 2013

Kanzu ya Robinho dhidi ya Alexis wa Barcelona

Robinho ameonesha kuwa yeye bado full kiwango baada ya kumpiga kanzu ya maana Alexis wa Barcelona kwenye mechi ya Uefa champions. Angalia kanzu hiyo hapo chini 

See you later: Robinho lifts the ball over Alexis Sanchez's head
A closer look: Robinho effortlessly wedged the ball between both feet before flicking it over his marker

No comments:

Post a Comment