Friday, July 12, 2013

Mourinho ashikwa na aibu baada ya kutaka kuanguka mbele ya waandishi wa habari Thailand

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho alijikuta anajikwaa na kutaka kuanguka wakati anaingia kwenye ukumbi wa mkutano na waandishi wa habari jijini Bangkok nchini Thailand. Tukio hili lilitokea wakati Jose anaingia kwenye ukumbi huo akiwa anatembea haraka na kujikwaa kwenye ngazi ya mwisho, lakini kutokana na wepesi wa mwili wake aliweza kujimudu kabla ya kufika chini licha ya kuwa alishikwa na aibu kwa mbali. Mcheki kwenye video hapo chini

Video Mourinho alivyojikwaa na kutaka kuanguka mbele ya waandishi 

No comments:

Post a Comment