Monday, July 1, 2013

Nike watoa mpira mpya wa ligi kuu England 2013/14

Worldwide: Stars in the Premier League, La Liga and Serie A will use the Incyte in 2013-2014
Huu ni mpira mpya wa Nike aina ya Incyte utakaotumika kwenye mechi za ligi kuu England msimu ujao 2013/14. Mpira huu umeelezwa kuwa na layer tano ambazo zinaufanya uwe madhubuti zaidi ya mipira mingine iliyowahi kutumika. Sifa zingine za mpira huu, unakwenda kasi zaidi na mwepesi kuutumia kutokana na teknologia yake ya kisasa iliyotumika. Nike wamesema unawafaa sana wapiga mashuti ya mbali. 
Nike La Liga ball
Detail: Nike claim the Incyte is the most technologically advanced football in the world, with a host of new innovations

No comments:

Post a Comment