Sunday, August 4, 2013

Gervinho awasili Italia tayari kusaini Roma

On his way: Gervinho gives a thumbs-up after arriving in Rome
Gervinho mshambuliaji wa Arsenal akiwa ndani ya gari baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege Fiumicino nchini Italia tayari kuelekea Roma, ambapo taarifa zinasema klabu hiyo imeshakubaliana na Arsenal kumnunua mshambuliaji huyu kwa paundi mil 7. Gervinho mwenyewe alipoulizwa baada ya kutua alisema ' ni kweli nimekuja kufanya vipimo na kusaini mkataba na Roma'.   
Gervinho Gervinho

No comments:

Post a Comment