Sunday, August 18, 2013

Shabiki akionesha hasira zake kwa Wenger

br40hctcuaajpmh Glorious chip! Federico Higuain (Columbus Crew) v Toronto FC
Shabiki wa klabu ya Arsenal akimuonesha kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, maneno yanayosomeka 'Spend Spend Spend' baada ya goli la tatu kuingia kwenye mechi ya jana kati ya Arsenal na Aston Villa, ambapo Arsenal ilifungwa goli tatu. Maneno ya shabiki huyu yanamshinikiza Wenger kutumia pesa kununua wachezaji wakubwa badala ya kubana matumizi. Hadi sasa klabu ya Arsenal haijajulikana itamsajili mchezaji gani kwani wachezaji wote iliyoonesha nia ya kuwasajili wameshasajiliwa na klabu zingine na wengine kama Suarez na Rooney wamebaniwa kuhamia Arsenal. Wacheki mashabiki wengine katika picha walivyokuwa na nyuso za huzuni kwa ajili na mtu mmoja tu 'Arsene Wenger'
Arsenal manager Arsene Wenger looks dejected on the touchline
Arsene Wenger akiwa amejishika kichwa kwenye mechi ya jana 

No comments:

Post a Comment