Monday, August 12, 2013

Usan Bolt bado anatisha

Points ahead: Usain Bolt proved his doubters wrong and retained the Olympic 100m title he first won in Beijing in 2008
Mashindano ya ubingwa wa dunia wa riadha yanaendelea mjini Moscow , ambapo mkimbiaji mbio fupi Usain Bolt aliwahakikishia mashabiki wake kuwa bado ni moto wa kuotea kwa mbali pale aliposhinda mbio za mita 100 kwa kutumia sekunde 9.77. Mcheki kwenye video hapo chini

No comments:

Post a Comment