Monday, August 5, 2013

Video: Kichekesho cha Fernando Torres

Kichekesho cha Fernando Torres, alikimbia na mpira akaanguka akiwa peke yake, baada ya kusimama akawapiga chenga mabeki wanne wa Ac Milan halafu akatoa pasi kwa mchezaji wa Ac Milan ' Juhudi bila faida'. Kichekesho hichi alikifanya jana kwenye mechi kati ya Chelsea na Ac Milan. 

No comments:

Post a Comment