Tuesday, August 13, 2013

Wachezaji wa Italia na Argentina wakutana na Papa

The Hand of God: Messi and Italy captain Gigi Buffon (left) meet the Pope on Tuesday
Lionel Messi na Gigi Buffon manahodha wa Argentina na Italia wakiwa na Papa Francis baada ya kumtembelea kabla ya mechi yao ya kirafiki itakayofanyika nchini Italia leo Jumatano. Papa Francis ni raia wa Argentina hivyo timu ya taifa ya Argentina ilimtembelea ili kumpongeza kwa kuchagulia kuwa Papa na kupata baraka zake. 
All smiles: Balotelli and the Pope share a joke
Friendly rivalry: Italy take on Argentina on Wednesday night
An audience with the Pope: Both teams give Francis a rousing reception

No comments:

Post a Comment