Thursday, September 26, 2013

Penati ya utatanishi yaipa ushindi Madrid

Elche 1 - 2 Real Madrid 

Elche: Elche: Manu Herrera; Damián, Botía, Lombán, Albácar; Rubén Pérez, Carlos Sánchez; Stevanovic, Coro, Fidel; Boakye.
Goals: Boakye 90+2
Real Madrid: Diego López, Pepe, Ramos, Coentrão, Khedira, Ronaldo, Benzema, Arbeloa, Modric, Di María, Isco
Goals: Ronaldo 51, 90+6
Attendance: 28,754

Contentious: Elche's players protest as referee Cesar Muniz gives a penalty in the 96th minute
Wachezaji wa Elche wakimlalamikia refa baada ya kutoa penati kwa Real Madrid katika dakika ya 96+ ya mchezo. Penati hii ilionekana ya utatanishi kutokana na mazingira yake. Unaweza kuingalia kwenye video ya chini. Bila ya kutolea penati, mchezo huu ungekwisha kwa droo ya goli 1-1. Kwa matokeo haya Real Madrid imefikisha pointi 16 ikiwa chini ya Barcelona na At. Madrid ambao wana pointi 18. 

Video Penati ya utatanishi iliyoleta mzozo

Video ya magoli yote 

No comments:

Post a Comment