Sunday, October 6, 2013

Schmeichel amsifia De Gea kwa kiwango

Save of the season? David de Gea makes a stunning right-handed save from Emanuele Giaccherini
Pichani ni David De Gea, golikipa wa Man utd akiruka kuokoa mpira uliokuwa ukielekea nyavuni baada ya kupigwa na  Emanuele Giaccherini wa Sunderland. Save hii ya De Gea imekuwa gumzo wikiendi hii kutokana na ukweli kwamba golikipa huyu alionesha kiwango cha hali ya juu kuokoa mpira huu. Katika kuonesha kumkubali De Gea, golikipa wa zamani wa Man utd, Peter Schmeichel alisema 'kiwango hiki kilichooneshwa na De Gea katika kuokoa mpira wa Emanuele, sijawahi kukiona katika maisha yangu yote ya soka, na De Gea anastahili pongezi kwa hili'. Unaweza kuangalia video ya SAVE hii ya De Gea hapo chini kama hukupata bahati ya kushudia tukio hili 

 How?! Man Uniteds David De Gea pulled off an outrageous save v Sunderland at 1 0 down {Pic, Video & GIF}

No comments:

Post a Comment