Saturday, October 5, 2013

Suarez na Sturrdige moto ule ule

Liverpool 3 - 1 Palace 

LIVERPOOL (3-4-1-2): Mignolet 7: Toure 7, Skrtel 7, Sakho 7 (Agger 66mins): Stering 6, Gerrard 7, Henderson 6, Enrique 7: Moses 6 (Alberto 66mins): Suarez 8, Sturridge 8 (Aspas 88mins).
Subs not used: Jones, Ilori, Wisdom, Ibe
Booked: Sterling, Iago Aspas
Goals: Suarez 13, Sturrdige 17, Gerrard 38 (PEN)
CRYSTAL PALACE (4-4-2):Speroni 7: Ward 6, Mariappa 5, Delaney 5, Moxey 5: Puncheon 6, O'Keefe 5, Jedinak 6, Kebe 5: Chamakh 5 (Bolasie 68mins 5), Jerome 5 (Gayle 46mins 7)
Subs not used: Price, Guedioura, Inniss, Phillips
Booked: O'Keefe
Goals: Gayle 76
Man-of-the-Match: Luis Suarez
Referee: A Taylor 7
Attendance: 44,721

Unique: Suarez adjusted superbly to score the opener on the deck
Suarez akifunga goli la kwanza kwa Liverpool dhidi ya Crystal Palace. Tokea Suarez arudi dimbani baada ya kumaliza kifungo chake, amefanikiwa kufunga goli kwenye mechi zote mbili sambamba na Sturrdige. 
Unstoppable: Damien Delaney was turned inside out by Sturridge for his goal
Wengi walivyofikiria kuwa kurudi kwa Suarez kutamzuia Sturrdige kuendelea kufunga magoli, lakini mambo yamekuwa tofauti, Sturrdige amendelea na moto ule ule na hadi sasa ndiye anaogoza kwa ufungaji wa magoli kwenye ligi ya England akiwa na jumla ya magoli 6. 

No comments:

Post a Comment