Sunday, December 22, 2013

Cole atangaza kustaafu soka mwisho wa msimu

End of the road: Ashley Cole is considering hanging up his boots at the end of the season
Beki wa kushoto wa Chelsea, Ashley Cole ametangaza kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu. Cole mwenye umri wa miaka 33 ametangaza nia yake hiyo kutokana na nafasi yake kwenye klabu na timu ya taifa kuwa ya wasiwasi na amekiri kuwa umri wake umekwenda ni vyema kuwaachia wengine. Cole anatarajiwa kuwepo kwenye miachuano ya kombe la dunia, na kama ataweza kucheza kwenye mechi hizi basi mechi hizi ndiyo zitakuwa za mwisho kwake katika historia ya soka kwenye maisha yake baada ya kuishi kwa miaka 14.  

No comments:

Post a Comment