Saturday, December 21, 2013

FT Yanga 1 - 3 Simba, Simba mtani Jembe

Klabu ya Simba imefanikiwa kunyakuwa kombe la Nani Mtani Jembe baada ya kuifunga klabu ya Yanga magoli 3-1. Magoli ya Simba yamefungwa na Tambwe (2) na Juma, wakati goli la Yanga limefungwa na Okwi. Klabu ya Simba imepewa kikombe wakati klabu ya Yanga imepata tsh mil 98.

Simba line up: Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma.

Yanga line up: Juma Kaseja - 29,Mbuyu Twite - 6 ,David Luhende - 3,Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C),Kelvin Yondani "Cotton" - 5, Athuman Idd " Chuji" - 24, Mrisho Ngassa - 17, Frank Domayo - 18, Didier Kavumbagu - 7, Hamis Kiiza - 20, Haruna Niyonzima - 8

No comments:

Post a Comment