Friday, December 20, 2013

Suarez ana magoli mengi kuliko klabu kumi

 Luis Suarez has scored more goals this season than 10 Premier League teams
Picha hii inaonesha Luis Suarez, mshambuliaji wa Liverpool kuwa ana magoli mengi kuliko klabu kumi za ligi kuu nchini England. Takwimu hizi zinathibitisha kiwango cha juu cha mchezaji huyu ambacho ameshaonesha hadi sasa. Luis Suarez ameshacheza mechi 11 na kufunga magoli 17 (idadi ya magoli ni kubwa kuliko mechi alizocheza) 

No comments:

Post a Comment